
3,133 views
15 Aug 2019
NIWEKE JUU LYRICS SHIZO MKENYA STANZA 1 Zimepita Miaka ,Mimi nahisi sijakwimbia, Zimepita Miaka , Mi Nahisi Sijakwimbia, Kasauti Kanasema Andika, Kengine Nako kananikana, Kasuti Kanasema Andika, kengine nako kananikana, Wewe Una mwito na, Tena Hujasoma Bibilia, Wewe Huna mwito na, Tena Hujasoma Bibilia, Kasauti Kanasema Andikaa, Kengine Nako Kananikana , Kasauti Kanasema Andika ,Kengine Nako kananikana baba. Chorus Niweke Juu, Aki Baba we Niwekee Juu, Ehh Nifanye Nione, Yale mambo mi Nisiyoona, Ahh Niweke Juu, Aki Baba we Niweke juu, Ehh Nifanye nione yale mambo mi nisiyoona ahh. STANZA 2 Ulitutoa kwa Vumbi ,Ukatujenga kwa vumbi, Sisi sote kwako vumbi ehhh, x2 Uliumba Binadamu, Wote Sawasawa, Tajiri Na Masikini, Wote Sawa , x2 Ukatupa Hewa Safi, Sote Tunavuta, Vuvu………… Wala Sio Mandazi ,Sokoni Yanakwisha , Vuvu…………….. Ukatupa Hewa Safi, Sote Tunavuta , Vuvu…….. Wala Sio Maandazi ,Sokoni Yanakwisha Baba……, Sokoni Yanakwisha Baba. Chorus Niweke Juu, Aki Baba we Niwekee Juu Ehh Nifanye Nione, Yale mambo mi Nisiyoona, Ahh Niweke Juu, Aki Baba we Niweke juu Ehh Nifanye Nione ,Yale Mambo mi Nisiyoona ahh STANZA 3 Uliumba Binadamu ,Wote Sawasawa, Tajiri Na Masikini, Wote Sawa, x2 Kasauti Kanasema Andikaa, Kengine Nako Kananikana , Kasauti Kanasema Andika ,Kengine Nako Kananikana Baba. CHORUS Niweke Juu, Aki Baba we Niwekee Juu, Ehh Nifanye Nione, Yale mambo mi Nisiyoona, Ahh Niweke Juu, Aki Baba we Niweke juu, Ehh Nifanye Nione Yale Mambo mi Nisiyoona ahh.