17 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 13 Nov 2026
6:44
Kuna dada mmoja amekiri kuwa alimsingizia kijana ubakaji na kusababisha afungwe jela. Sasa majuto yanamtesa, lakini maisha ya kijana huyo tayari yameathirika. Je, ni haki kuharibu maisha ya mtu kwa tuhuma za uongo?