
277 views
Bahati anaeleza mipango yake kwa wakazi wa Mathare akichaguliwa kuwa mbunge, ikiwemo kupigania sheria zinazounga mkono vipaji vya wenyeji na kutafuta suluhu kwa changamoto ya ukosefu wa ajira Pia anafunguka kuhusu safari yake ya kisiasa na mbinu zake katika tasnia ya burudani.