286 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 13 Nov 2026
15:22
Bahati asema ukosefu wa ajira ndio changamoto kubwa inayowakabili wakazi wa Mathare. Anasema akichaguliwa kuwa mbunge, atajitahidi kutafuta suluhu kwa tatizo hilo.