
198 views
Bahati anaeleza kuwa wazo la kupata shilingi milioni moja kutoka kwa watu 100 lilikuwa mkakati wa kutangaza na kuzindua mradi wake. Anasema katika tasnia ya burudani, ukiwa mtu wa kutabirika, ni vigumu kuuza kwa sababu unahitaji ubunifu na mbinu mpya ili kuvutia watu.