1,276 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 13 Nov 2026
7:14
Utafiti wampa Edwin Sifuna nafasi ya mbele dhidi ya Rais Ruto. Huku ushindani wa kuwania ushawishi ndani ya kambi ya marehemu Raila Odinga wazidi kushika kasi.