
21 views
Japheth Githinji anaonya kuhusu ongezeko la hatari ya watoto kujiingiza katika matumizi ya dawa za kulevya, akirejelea matokeo ya utafiti yanayoonyesha uwezekano huo kuwa mkubwa. Anatoa wito wa kuchukua hatua mapema ili kuwalinda watoto dhidi ya uraibu.