Wizara ya ardhi kuanzisha mchakato wa kuwapa hatimiliki wenyeji wa Birikani huko Voi

  • | K24 Video
    Wenyeji wa Birikani huko Voi  sasa wana  matumaini ya kumiliki sehemu wanazoishi. Hii ni baada ya wizara ya ardhi kuanzisha mchakato wa kuwapa hatimiliki.