
30 views
Maafisa 84 wa rasilimali watu serikalini wapelekwa likizo ya lazima kwa siku 30 za kazi huku uchunguzi ukiendelea kuhusu madai ya udanganyifu wa mishahara unaohusisha takriban shilingi bilioni 6.2. Host: Titi Ni Rhumba Producer: Presenter DK KE #ClubRhumba