
5,147 views
Amukura Sub Parish Youth Choir and Eugene Ikaal
6 Jan 2024
@starvisionmediapro @amukurasubparishyouthchoir598 Kwaya ya Vijana Ya Mt. Josephine Bakhita kutoka Parokia ya Mtakatifu Rosa wa Lima - Amukura , Malaba, Jimbo katoliki la Bungoma wanakukaribisha kutazama na kusikiliza wimbo huu wa shukrani unaoitwa TUNAMSHUKURU MUNGU. Wimbo huu umetungwa na Egune Ikaal na Kurekodiwa na studio za Starvision Media Pro - Thika