
7,465 views
19 Nov 2022
Kwaya ya Kristo Mfalme Kutoka Parokia teule ya Mtakatifu Patrick, Jimbo Kuu Katoliki la Nairobi. Wanatushirikisha kusikiliza wimbo Huu unaoitwa Kristo ni Mfalme, Utunzi wake Mwalimu Nyandega Evans Audio na Video vimefanywa na Starvision Media Pro, Kinanda Kimechezwa naye Muli Franc Tunaposikiliza na kutazama wimbo huu,Tuzidi kubarikiwa. #ChristthekingChoir #Starvisionmediapro