
22,675 views
18 Jun 2022
Karibuni kutazama Wimbo uitwao Imani Yangu. Wimbo huu ni utunzi maalum wake Mwalimu Kidaluso Elias Fidelis. Wimbo Mtamu sana ambao unatukumbusha kuhusu Imani yetu katoliki. Tumeuimba wimbo huu ili kumsifu Mungu na Kuuenzi utunzi mzuri wa Mwalimu Elias Kidaluso Fidelis pamoja na Walimu wengine wanaofanya vyema sana Organist: Charles Mwangi Singers: Tabitha Mutuli, Muli Franc na Charles Mwangi. Studio: Starvision Media Pro.