
1,079 views
Kwaya ya Mt. Stefano Mutyamboo
14 Feb 2022
Hii ni Kwaya ya Mt. Stefano Mutyamboo, Parokia Teule ya Mt Paulo Matuu, Jimbo Katoliki la Machakos. Tenda Wema ni wimbo mtamu miongoni mwa nyimbo zingine za kumsifu na Kumtukuza Mungu katika Albamu hii. Tuungane nao katika kuitazama kazi hii. Mtunzi: Boniface Kirumwa Organist: Muli Franc