
660 views
19 Jan 2022
Kwaya ya Mtakatifu Stefano kutoka Parokia teule ya Mt. Paulo Matuu, Jimbo Katoliki la Machakos, Kenya Wanatukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo wao Mpya ulio miongoni mwa nyimbo nyingine katika Album yao mpya walioizindua. Mtunzi: Evans .O. Nyandega Organist: Muli Franc Audio na Video vimefanyika katika studio za Star Vision Media Productions