
1,431 views
Seneta Karen Nyamu amedai kuwa umaarufu wa Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna unatokana zaidi na mitandao ya kijamii kuliko uungwaji mkono wa kisiasa mashinani. Nyamu ametoa kauli hiyo akizungumzia nafasi ya Sifuna katika siasa za Kenya na mjadala unaoendelea kuhusu umaarufu wa viongozi kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027.