
353 views
Seneta mteule Karen Nyamu amemkosoa aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akimtuhumu kutumia mgawanyiko katika eneo la Mlima Kenya kujijengea umaarufu wa kisiasa. Nyamu anatoa mtazamo wake kuhusu siasa za Mlima Kenya na athari za migawanyiko hiyo kwa umoja wa viongozi na wananchi wa eneo hilo.