
18 views
Kapteni Irene Ndanu anasisitiza umuhimu wa nafasi ya Mwakilishi wa Wanawake (Women Representative) katika kuwatetea wanawake, kusimamia maslahi yao na kuhakikisha changamoto zao zinapatiwa ufumbuzi. Anasema nafasi hiyo ina mchango mkubwa katika kuimarisha uwakilishi wa wanawake na kukuza usawa katika uongozi.