32 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 16 Nov 2026
15:45
Irene Ndanu anatoa wito wa kuwepo kwa usawa wa fursa kati ya wanawake na wanaume, akisisitiza umuhimu wa kuwapa wote nafasi sawa katika uongozi, siasa na maendeleo ya taifa.