
29 views
Katika kipindi cha Simulizi ya Wanabiashara, Lemuel Olonga anafichua kuwa kukuza biashara kunahitaji kujitolea, uvumilivu na kujinyima mengi. Anasisitiza kuwa mafanikio ya biashara hayaji kwa urahisi, bali yanahitaji muda, bidii na kujituma ili kufikia malengo yaliyowekwa.