150 views
Maisha Jioni on Radio Maisha
Aired 16 Nov 2026
16:53
Sanaa inahitaji uvumilivu, kujitolea na muda. Bila kuwa na subira, ni vigumu kufanikiwa au kustawi katika sanaa kwa sababu inahitaji mazoezi, ubunifu, kujifunza na kukabiliana na changamoto