35 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 17 Nov 2026
2:10
Kila mtu ana safari yake na majira yake ya maisha. Tusijilinganishe na wengine wala kuwahukumu kwa hali wanazopitia, bali tuonyeshane upendo, uvumilivu na kuelewana. Kumbuka, kila jambo lina wakati wake chini ya jua.