33 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 17 Nov 2026
4:31
Mwenyezi Mungu anaweza kumtumia mtu yeyote kuwa baraka na kuleta suluhu katika maisha yetu. Tusimdharau mtu kwa hali, nafasi au uwezo wake, maana kila mmoja ana thamani na mchango wake katika jamii. Tujifunze kuheshimiana na kuthaminiana.