629 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 17 Nov 2026
32:51
Njeri Kahiga amezungumzia kauli zinazotolewa kuhusu aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, akisema kuwa huwezi kumtaja kuwa mnyanyasaji huku wewe mwenyewe ukishindwa kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa (rallies).