
105 views
Felix Wambua anasisitiza kuwa kila Mkenya ana haki na uhuru wa kuchagua kiongozi anayemtaka bila kushinikizwa au kushawishiwa na mtu yeyote. Anasema kuwa maamuzi ya kisiasa yanapaswa kuheshimika na kila mwananchi kupewa nafasi ya kufanya uchaguzi wake kwa hiari.