
156 views
Njeri Kahiga anasisitiza umuhimu wa viongozi kuhakikisha kuwa ahadi na misimamo yao ya kisiasa inaendana na matakwa wanayowasilisha kwa wananchi. Anasema kuwa uwajibikaji, msimamo thabiti na kutimiza ahadi ni mambo muhimu katika kujenga imani ya wananchi kwa viongozi wao.