1,812 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 17 Nov 2026
28:24
Mwaniaji wa ubunge wa Shinyalu, Julius Ganerah, amesema kuwa uongozi wa Linda Mwananchi haujaegemea upande wowote, akisisitiza kuwa vuguvugu hilo linaendesha shughuli zake kwa misingi ya usawa na uwakilishi wa wote.