
101 views
Mwaniaji wa ubunge wa Shinyalu, Julius Ganerah, amekosoa uongozi wa Rais William Ruto, akisema kuwa alitoa ahadi nyingi kwa Wakenya ambazo bado hazijatekelezwa. Ganerah anahoji kuhusu utekelezaji wa ahadi hizo na athari zake kwa wananchi, hasa vijana wanaosubiri fursa za kiuchumi.