44 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 17 Nov 2026
8:36
Mwaniaji wa ubunge wa Shinyalu, Julius Ganerah, anasema kuwa juhudi zinaendelea kuhamasisha vijana kutotumika vibaya katika masuala ya kisiasa, bali kushiriki katika siasa kwa misingi ya uelewa, uwajibikaji na kutetea maslahi yao.