
109 views
Kocha McCarthy ameeleza imani yake kwa Harambee Stars, akitarajia kikosi hicho kupata matokeo mazuri dhidi ya Afrika Kusini katika mechi ya marudiano jijini Nairobi. Je, Harambee Stars wataweza kutumia vyema uwanja wa nyumbani na kuwapa mashabiki sababu ya kushangilia?