
58 views
Architect Oliver anashauri kuwa baada ya kuthibitisha uhalali wa ardhi, hatua inayofuata ni kumshirikisha mbunifu majengo (architect) kupanga muundo wa nyumba kulingana na mahitaji na bajeti yako. Anasisitiza umuhimu wa kupata ushauri wa kitaalamu kabla ya kuanza ujenzi ili kuepuka makosa na gharama zisizotarajiwa.