
274 views
Geoffrey Mosiria amedai kuwa magenge ya wafisadi yanayohujumu mali ya umma yanahusisha gavana na baadhi ya watu walioingia naye serikalini. Mosiria amesisitiza umuhimu wa uwajibikaji na kupambana na ufisadi ili kulinda rasilimali za wananchi wa Nairobi.