
431 views
Geoffrey Mosiria ameeleza masikitiko yake kuhusu kunyimwa nafasi ya kuwahudumia wananchi, akisema ni jambo linaloumiza kutoweza kutekeleza wajibu wa kuwatumikia watu. Katika mahojiano haya, anazungumzia uongozi, uwajibikaji na nafasi ya viongozi katika kuleta mabadiliko kwa wananchi.