
9,303 views
Geoffrey Mosiria amemkosoa kiongozi wa upinzani Babu Owino, akidai kuwa anashirikiana na serikali wakati wa usiku huku akiikosoa hadharani wakati wa mchana. Mosiria ametilia shaka msimamo wa kisiasa wa Babu, akitaka uwazi na msimamo thabiti kutoka kwa viongozi wa kisiasa.