
128 views
Geoffrey Mosiria, mgombea wa ugavana wa Kaunti ya Nairobi, amesema hajaridhishwa na utendaji wa serikali akitaja ukosefu wa ajira kama mojawapo ya changamoto zinazomkabili. Mosiria anasema hali ya ukosefu wa ajira imeathiri Wakenya wengi na anataka hatua madhubuti zichukuliwe kuimarisha uchumi na kuongeza nafasi za ajira.