
53 views
Wakenya wanataka majibu kuhusu hali ya uchumi, ukosefu wa ajira na utekelezaji wa ahadi za serikali. Katika hotuba yake ya Hali ya Taifa, Rais William Ruto anatarajiwa kueleza hatua ambazo serikali imechukua kukabiliana na changamoto hizi pamoja na mipango ya kuboresha maisha ya wananchi.