
63 views
Je, Kenya inapaswa kuelekeza nguvu na uwekezaji zaidi katika michezo ambayo imeiletea mafanikio kimataifa kama riadha na Rugby, au bado kuna nafasi ya kuendeleza soka? Katika mjadala huu, tunachambua namna Kenya inavyoweza kukuza vipaji, kuboresha uwekezaji katika michezo na kuhakikisha kila mchezo unapata nafasi ya kufanikiwa. Je, soka nayo inapaswa kupewa kipaumbele sawa?