
34 views
Serikali imewaonya social media influencers dhidi ya kutumia picha za watoto wenye uhitaji kuchangisha fedha mtandaoni bila kuzingatia taratibu zinazofaa. Hatua hii inalenga kulinda haki, utu na faragha ya watoto dhidi ya matumizi mabaya ya picha zao kwa shughuli za uchangishaji fedha.