
33 views
Baadhi ya wazee kutoka eneo la Central wameibua madai kuhusu matumizi ya diapers, wakidai kuwa yanaweza kudhuru afya ya uzazi wa vijana wa kiume. Madai haya yameibua mjadala kuhusu matumizi ya diapers na athari zake kwa afya ya wavulana. Je, madai haya yana ukweli gani? Shiriki maoni yako.