5,463 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 18 Nov 2026
46:14
Geoffrey Mosiria amedai kuwa lengo la Babu Owino lilikuwa kumaliza kisiasa seneta wa Nairobi Edwin Sifuna. Mosiria ametoa madai hayo akizungumzia mivutano ya kisiasa na uhusiano kati ya viongozi hao.