58 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 18 Nov 2026
43:41
Robby The Queen amefunguka kuhusu kipindi kigumu alichopitia baada ya kugundua kuwa mtoto wake alikuwa na saratani ya hatua ya nne (Stage 4). Anasema katika kipindi hicho kigumu, baba wa mtoto hakuwahi kuwasiliana naye.