
216 views
Robby The Queen amesimulia kisa cha kushangaza kuhusu maisha yake, akifichua jinsi alivyopata ujauzito wa mwalimu wake wa Chemistry. Katika mazungumzo haya ndani ya Staarabika, anafunguka kuhusu tukio hilo na uzoefu wake wa maisha. Tazama simulizi yake na ushiriki maoni yako.