
27 views
Robby The Queen anasisitiza umuhimu wa kutokata tamaa maishani, akisema kuwa kitu cha gharama kubwa zaidi ni kupoteza matumaini. Anahimiza watu kuendelea kuamini, kupambana na changamoto na kutokata tamaa licha ya magumu wanayopitia. Usikose ujumbe huu wa kutia moyo ndani ya Staarabika.