
1,667 views
12 Dec 2024
FURAHA DUNIANI KOTE (JOY TO THE WORLD) is a song from Isaiah's prophecy in scripture (Isaiah 9:2-6) about the coming Messiah. Christ is all what I souls truly need: a wonderful counsellor, an almighty God, everlasting Father and the prince of peace. Emmanuel, our God has come to dwell with us, even to the end of the age, what a privilege! Let there be JOY in all the earth, our Saviour is born! CREDITS: Written & Performed by: KAFFI CYNTHIA Backup Vocals: NJERI ANAMPIU & NICKSON MUTHUURI Audio Producer: NIXON MEGA RECORDS Videographer: SWIFT DELIGHT FILMS LYRICS: Chorus Ni furaha duniani kote, Bwana Yesu mkombozi wetu Amefika, shangilia ah Imanueli, Mungu pamoja nasi Verse 1 Wote mliojawa na huzuni hamtabaki hivyo daima Waliotembea gizani wameona mwanga mkubwa Maana tumepewa mwana wa kiume Amezaliwa kwetu kuvunja nira zote CHORUS Verse 2 Ataitwa mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu Baba wa milele, Mfalme wa amani Naye atapewa mamlaka atawale Na utawala wake utastawi milele Bridge/Outro Hatuna hofu tena maana uko nasi Unayeweza yote, u pamoja nasi Wa kusamehe dhambi, uko nasi Wa kutufikisha mbinguni, u pamoja nasi 12/12/2024