Vijana kunufaaika zaidi ikiwa ripoti ya BBI itapitishwa

  • | K24 Video
    Kwa kipindi cha miaka 7 vijana hawatatozwa ushuru wa biashara zao na kando na kutolipa ushuru, huu utakuwa motisha tosha kwa wanao mezea kumiliki biashara nchini.