70 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 19 Nov 2026
4:51
Rais William Ruto ametetea rekodi za serikali yake akieleza mafanikio yaliyopatikana katika kipindi chake cha uongozi. Hata hivyo, hotuba yake imeibua maswali kuhusu gharama ya juu ya maisha na changamoto za kiuchumi zinazowakabili Wakenya.