
120 views
Katika mahojiano ya Survivor Series, William Kadagi anafichua jinsi alivyokuwa akishirikiana na wafanyakazi wa nyumbani kupanga njama za kuwaibia matajiri. Anasimulia mbinu walizotumia, maisha yake ya uhalifu na safari iliyompelekea kubadilika.