41 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 19 Nov 2026
33:41
Syombua Kioko azungumzia changamoto zinazowakabili Wawakilishi wa Wanawake kuhusu mgao wa fedha za NGAF, akidai kuwa wengi wao wamekosa kunufaika ipasavyo na mgao huo. Anatoa mtazamo wake kuhusu usimamizi na ugawaji wa fedha hizo.