53 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 19 Nov 2026
14:29
Syombua Kioko anaeleza umuhimu wa nafasi ya Mwakilishi wa Wanawake (Women Rep), akisema kuwa nafasi hiyo inatoa fursa kwa wanawake kukua kisiasa, kujenga uongozi na kushiriki kikamilifu katika maamuzi ya kitaifa na ya kaunti.