25 views
Konnect on Radio Maisha
Aired 19 Nov 2026
12:05
Katika safari ya biashara, changamoto na kutoridhika kwa baadhi ya wateja ni mambo yasiyoepukika. Wycliff Asot Asot anasisitiza umuhimu wa uvumilivu na kutokata tamaa licha ya changamoto hizo.