86 views
Maisha Asubuhi on Radio Maisha
Aired 19 Nov 2026
41:08
Kutoka maisha ya ujambazi hadi mageuzi ya maisha! William Kadagi afunguka kuhusu safari yake ya uhalifu, mbinu za kuwaibia matajiri na kilichomfanya kubadilika. Simulizi ya kusisimua ndani ya Survivor Series!